Mkishakutana na mteremko basi mataaaaambo,.majimaji walikuwa wanashangaa uwanja si unajua toka ujengwe hawajawahi kutia mguu:what:
Tunakimbiza mwizi kimya kimya.. Hutaamini nafasi tutakayokua ligi itakaposimama kwa ajili ya mapumziko.
Ole wao wakutane na Mnyama huyu ambae hana utani kabisa akiwa mawindoni.
Hahaha.. Sisi na Azam tu ndugu.. Hivyo tutajua tutafanyaje.