Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Simba itapigwa vibaya sanaLeo Jumamosi Julai 25 ni zamu ya Tanzania ambapo vigogo wawili, Simba SC na Singida BS kutoka Kundi B watakuwa dimbani kwa nyakati tofauti.
Anaanza Singida BS dhidi ya Jamusi FC kutoka Sudan Kusini... kisha saa 1:00 usiku ni Mnyama Simba SC mwenye vifaa vipya dhidi ya Mogadishu City ya Somalia
View attachment 3636584
Umechanganyikiwa wewe jamaaSimba itapigwa vibaya sana
Sasa unadhani hao Wasomali wamekuja kudaka matombolilo?Umechanganyikiwa wewe jamaa
10 Azam 2 HDMatch ya kwanza saa ngapi?
Nini kimeharibika baada ya kujitoa?Imekuwa poa Yanga kujitoa kwenye hili bonanza
Nguvu mojamimi sio shabiki wa mpira ila nafurahia simba ikishinda
Simba 5 - 0 Mogadishu city
Simba wakipigwa ntakunywa bia tano japo nilikuwa nimeacha pombemimi sio shabiki wa mpira ila nafurahia simba ikishinda
Kulukundu maana yake niniNguvu kulukundu
Kama Kibu Denga