Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Huu uzi ulinipita, hongera Mnyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dribbles 2 3 ndiyo alikuwa mchezaji bora? Watz ndiyo maana inakuja michezaji tu imejazana wakati haina faida, kisa inajua kukimbia na mpira na kupiga chenga tunavimba mibichwa kidwanzi kama weweAcha ushabiki maandazi........Man of the match mpaka sasa ni Banda au Sakho niambie ni mchezaji gani ameperform kuliko wao uwanjani .
Wewe ni shabiki wa timu gani mkuu ??Dribbles 2 3 ndiyo alikuwa mchezaji bora? Watz ndiyo maana inakuja michezaji tu imejazana wakati haina faida, kisa inajua kukimbia na mpira na kupiga chenga tunavimba mibichwa kidwanzi kama wewe
Hujui chochote kuhusu mpira zaidi ya ushabiki uchwara tu uliokujaa kwenye Fuvu.Dribbles 2 3 ndiyo alikuwa mchezaji bora? Watz ndiyo maana inakuja michezaji tu imejazana wakati haina faida, kisa inajua kukimbia na mpira na kupiga chenga tunavimba mibichwa kidwanzi kama wewe
Kwani BANDA kabla ya kusajiliwa Simba alikuwa anacheza wapi?????Oyaaa ondoa huu upupu ndani hapa..... Yaan SAKHO na BANDA wakacheze ULAYA?? Hao wachezaji Hata AZAM hawapati namba. Ushabiki kama huu ndio unafanya tujione level sawa na AL AHLY wakati hata nusu fainali CCL hatujawahi fika.
Malawi na sio ULAYA, Ulaya alikuwa majaribio hata FARID MUSA amewahi kucheza ULAYA.Kwani BANDA kabla ya kusajiliwa Simba alikuwa anacheza wapi????? View attachment 2045481
mtu kacheza Eufa champions halafu unasema alikuwa kwenye majaribio? Aisee unastahili kuchapwa makofi akili ikukae sawaMalawi na sio ULAYA, Ulaya alikuwa majaribio hata FARID MUSA amewahi kucheza ULAYA.
Malawi na sio ULAYA, Ulaya alikuwa majaribio hata FARID MUSA amewahi kucheza ULAYA.
... unafanya tujione level sawa na AL AHLY wakati hata nusu fainali CCL hatujawahi fika.