Mishangazi wa Jf mko wapi?
Mahondaw Evelyn Salt Numbisa nasikia jahazi linaelekea kuzamishwa huko. 🤣
Niletee hapa nimpe Karia ampigie simu refa. Si unaona kila muda faulo tunapeleka upande wa Coastal?Napeleka bahasha wanangu hatuwez toka droo 🤣
Wawafarakanishe watuCoastal msituangushe
Tutapewa penalty mida si mrefu. Pia tutaongezewa Dakika 9 hapa. Bahasha ishafika mezani kwa Karia.Wanabebwa bana
Toka zamaniSimba timu ya kipumbavu sana
Hakika. 🤣🤣Droo itapendeza