Balekeeeee30' Simba 1-0 Horoya
Anataka hyo milioni 5 apeleke bunjumburaSaidoo nae huwa ni lazima akae na mpira mpaka nafasi zote zifungwe ndo ajue kutoa pasi.
Moja kati ya machezaji mbinafsi sana hapo mbele na amekua akiua moves nyingi sana.
Feisal karudi UtopoloKelele tena banda umiza...kunani?
Umesema ukweli mtupu. Maana hata muda huu nimetulia zangu tu sehemu, huku napata updates za huu mchezo wenu kupitia hapa kukwaani.@Tate Mkuu wewe ni mpinzani tuliza boli