UnaendeleajeFix sana we jamaa.. leo mtapigwa kipigo cha mbwa koko,kipigo ambacho chozi lake litawatokea ulimini! Kipigo Chenye pigo lisiloisha ukali wake!
Simba na al ahly wanadhihirisha ule msemo "its not over until it over"
Kesho tutazomewa kama ugomvi hvSie kazi kazi yetu ni kukausha pesa zote kwenye ile akaunti ya mama Rais [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambie Bantu Lady tumemiss sana michambo yake π€£Bantu Lady popote ulipo nakusalimia mtani ππ
Ziliwatoa kamasi mkaishia kombe la mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]club bigwa mwaka huu imejaza timu za kipumbavu
1.vipers
2.horoya
3.coton sport
4.zamalek
5.simba
Watoto wa jangwani mmetuona wa kimataifa na hapo bado hatuna kikosi bora msimu huu πππNamimi nawasalimia Horoya..
Mimi Yanga mtoto wa Jangwani Mzee wa kupambania π π π π π
Kawa mpole saivi kama kuku aliyenyeshewa na mvua Bantu Lady πππMwambie Bantu Lady tumemiss sana michambo yake π€£
.... na shangazi yake na mjomba ake...Simba gari limewaka Raja tutawapiga palepale ndani kwao mbele ya babake na mamake.