Keaho usije kusingizia kuwa hujaangalia mpira kwasababu ulikuwa safarini, kama siku ya ile game yenu na Al Hilal.Umesema ukweli mtupu. Maana hata muda huu nimetulia zangu tu sehemu, huku napata updates za huu mchezo wenu kupitia hapa kukwaani.
Mpira nitaangalia kesho.
Nitakupigia video call kama hutaki salamu zanguSitaki
Tutamkodishia body guard wa kumlindaMwambie fomu za kujiunga zipo ila hatutaki awe snichi kama Manara π
ndo maana nasema Raja atapigika hana maajabu ni vile alituotea tu bado Simba ilikua kama inakausingizi flani hivi.Kule St. Marys Kitende
Vipers 1-1 Raja
HahahahahaWatani Utopolo mko wapi Sio Vizuri Kutuachia Uzi mjue...!
Timu iliyopo kwenye Ishirini ya vilabu Bora Afrika, unaifananisha na Coastal union huyo Utopolo tu hamfikiiBora yule mganga wa kinyumenyume mlimpiga chini. Huyu sasa msimuache. Horoya ni Coastal Union iliyochangamka...
Haki yakoYaniii kesho misa ya kwanza kwenda kushukuru kwa Mungu kwa mambo mema aliyotutendea leo...
ππππKama naziona pua ya MANARA na EDO KUMWEMBE zilivyo tanuka kama komwe la PRIVADINHO