FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo Uwanja wa Mkapa

Bado Uwanja umeinama kwa Horoya

Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi mnono wa mabao 7 kwa bila dhidi ya Horoya

FT: Simba SC 7-0 Horoya

... Ghazwat...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…