Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
We mzee jishikilie[emoji23][emoji23][emoji23]Nakojooaaaaa nakojooooaaaa nakoooojooooaa
Walisikika walevi wakijadiliana..Huyo Rajabu naye huko kwao akae mkao wa tahadhari, hii dhoruna inaweza kumkuta yeyote aliyeko mbeleni
Simba kacharuka
[emoji1787][emoji1787]Fix sana we jamaa.. leo mtapigwa kipigo cha mbwa koko,kipigo ambacho chozi lake litawatokea ulimini! Kipigo Chenye pigo lisiloisha ukali wake!
kwamba ww unajua kuliko raja aliye kukanda 3Ilooooooooooooo ilooooooooo utatafuta sana sababu angalia kesho usijepigwa na stroke
Nakojooaaaaa nakojooooaaaa nakoooojooooaa
poa baby leo hatumwi mtoto dukani.Babe leo nakupa saba konkiii kama za Simba
🤣🤣🤣🤣
Jiandaeee na minuts ya aina zote 💪
Nakojooaaaaa nakojooooaaaa nakoooojooooaa
Hii inaitwa zoa zoaHuyo Rajabu naye huko kwao akae mkao wa tahadhari, hii dhoruna inaweza kumkuta yeyote aliyeko mbeleni
Simba kacharuka