FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

angewapa uone impact ya iyo picha raja aliye kukanda 3 na anaye enda kukukanda 7 kwake alipoteana kwa horoya ya bila mgomo
Kile kiwango tulivhowapihia pale hata wangeahidiwa kuhongwa dunia wangekuwa wanachapika

Mtambo ushawaka saizi hatushikiki kila kanyaboya aliyeko mbele yetu tunampiga pigo la kimbari
 
Kwa boli hili,mashindno haya na magoli haya ya kideoni halafu mama anatoa kiwango sawa kama wale loosers,Washauri wa mama kwenye michezo wamekosea sana.
 
Dah yaani huwa hamtaki kabisa kukubali uwezo wa mnyama! Lazima mtafute sababu tu ya kumdharau. Hivi simba angefungwa leo ungeandika ulivyoandika? Mkuu mpira ni wa uwazi kabisa ifike wakati tukubali uwezo wa simba, kwa leo simba wamebadilika sana tofauti na mechi tatu zilizopita. Makosa waliyoyafanya horoya ni ni kuidharau simba wakiamini wanaweza kufanya chochote matokeo yake wakakutana na simba iliyoimarika sana leo wakapotea mazima kilichofuata ni 7 bila.
 
Nimekuwekea mkuu jina la wakala Ibrahim Mussa๐Ÿ˜๐Ÿ™๐Ÿฝ
Umepokea TSh 5,000 kutoka kwa Wakala - IBRAHIM JUSSA, Salio lako jipya ni TSh 15,048. Kumbukumbu no.: 367803097. 18/03/23 22:33. Furahia punguzo la Tozo unapofanya miamala kwa Tigo Pesa. Piga*150*01# au tumia Tigo Pesa App
 
Umepokea TSh 5,000 kutoka kwa Wakala - IBRAHIM JUSSA, Salio lako jipya ni TSh 15,048. Kumbukumbu no.: 367803097. 18/03/23 22:33. Furahia punguzo la Tozo unapofanya miamala kwa Tigo Pesa. Piga*150*01# au tumia Tigo Pesa App
Nilitaka kushangaa nimekosea namba nirejeshe pesa yangu๐Ÿคจ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ