Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kila kundi zinapita timu mbili so simba akishinda atafuzu kwa point 5Simba Wakishinda, hawaendi kokote kivipi?
Em tazama msimamo ulivyo. Lol
Kwa hiyo ngara ndo mbumbuKila kundi zinapita timu mbili so simba akishinda atafuzu kwa point 5
Kila kundi inatoa timu Moja, hivyo zinakuwa timu tatu mkuu. Halafu best loser Moja ataungana na hizo timu tatu kukamilisha timu nne.Kila kundi zinapita timu mbili so simba akishinda atafuzu kwa point 5
Bas sawaaKila kundi zinapita timu mbili so simba akishinda atafuzu kwa point 5
Best loser huyo anatoka kundi gani? Au anapatikanaje?Kila kundi inatoa timu Moja, hivyo zinakuwa timu tatu mkuu. Halafu best loser Moja ataungana na hizo timu tatu kukamilisha timu nne.
Inasemekana Vipers ameshafuzu kama best loser. Wako nafasi ya pili, lakini wana points 6. Simba akishinda anakuwa nafasi ya pili, lakini atakuwa na points 5.Best loser huyo anatoka kundi gani? Au anapatikanaje?
Oooh bas sawa, nimeelewa.Inasemekana Vipers ameshafuzu kama best loser. Wako nafasi ya pili, lakini wana points 6. Simba akishinda anakuwa nafasi ya pili, lakini atakuwa na points 5.
Tumetolewa bhana š„²Oooh bas sawa, nimeelewa.
KatolewaSimba kafuzu au?