Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Nadhangaa kwanini wamefungia VAR, ingekata ngebe na ukiritimbaRefa huyu asipofungiwa nitashangaa, penati mbili zote za wazi. Na BODI YA LIGI ikiwa ina endelea na trend hii ya kuwafungia waamuzi ipo siku Voimanda atakuwa refa wa kati. VAR walileta wakaziweka stoo ili ziwe makazi ya panya?
Ni mchezaji wa ndani.aiyemsajii Mwangosi ametukosea sana wanasimba ina maana scout yao imeona ni mchezaji anayefaa kucheza Simba
hata akiwa wa ndani hana ubora wa kucheza Simba abda kama wangemsajili kama under 20Ni mchezaji wa ndani.
Yupi ingekuwa ni mbadala wake?hata akiwa wa ndani hana ubora wa kucheza Simba abda kama wangemsajili kama under 20
bora wangecheza na false no 9Yupi ingekuwa ni mbadala wake?
Wewe ni moja ya watu wanaobishana bila kuangalia mechi na kutojua mwenendo wa timu. First eleven ilikuwa na false no 9 ya Loemba. Na hiyo ni kwa sababu strikers tegemeo wamesimamishwa na Bodi na Simba. Huyo Mwangosi ni option ya 3, ambaye imebidi aiongie baadae kubadili plan baada ya false 9 kutoleta matokeobora wangecheza na false no 9
unamtoa kwa mkopo Valentino Mashaka unamleta Mwangosi, alioingia alileta mabadiliko ganiWewe ni moja ya watu wanaobishana bila kuangalia mechi na kutojua mwenendo wa timu. First eleven ilikuwa na false no 9 ya Loemba. Na hiyo ni kwa sababu strikers tegemeo wamesimamishwa na Bodi na Simba. Huyo Mwangosi ni option ya 3, ambaye imebidi aiongie baadae kubadili plan baada ya false 9 kutoleta matokeo
Au ulitaka asubuhi asajiliwe Edgar William, jioni aingie kucheza?