FT: Super Bowl 2025| Kansas Chiefs 22-40 Philadelphia Eagles

FT: Super Bowl 2025| Kansas Chiefs 22-40 Philadelphia Eagles

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Kansas Chiefs wamekuwa mabingwa wa mpira wa marekani kwa miaka mitatu mfulilizo. Leo hii wanapewa kibao sana na Philadelphia Eagles. Miaka ya nyuma kidogo mwanafunzi wangu mmoja alikuwa akichezea Kansas Chiefs na mwingine alikuwa akichezea Phildelphia Eagles. Wote wameshastaafu mpira huo sasa hivi.

Hadi ninaandika post hii, wako kwenye robo ya pili na Philadelphia wanaongoza kwa point 17-0
 
goli moja la American football ni pointi 6 au 7. Kwa hiyo ukiona point 14 ujue hayo ni magoli mawili. Vile vile kuna nusu goli (field goal) la point 3. Point 17 ina maana ya magoli mawili na nusu
Hapo nimekuelewa
 
Wakishinda watasema wao ndio mabingwa wa Dunia.
Hivi watawaweza Watanzania kweli?

Kesho utasikia kutoka kwenye far rights media. Kuhusu haltime show.
 
Wakishinda watasema wao ndio mabingwa wa Dunia.
Hivi watawaweza Watanzania kweli?

Kesho utasikia kutoka kwenye far rights media. Kuhusu haltime show.
Nilipohamia Marekani kwenye miaka ya tisini ,nilishngaa sana kuwa kulikuwa na mashindao ya baseball (mchezo ambao sikuwa naujua) World Series. Mwaka ule, mshindi alikuwa Atlanta Braves na wakajulika kama World Champions
 
Sasa Philadefia ndie atakuwa World Champions.
====

Unafikiri huyu Mahome ataeza kurudisha magoli?
 
Sasa Philadefia ndie atakuwa World Champions.
====

Unafikiri huyu Mahome ataeza kurudisha magoli?
Kwa mwendelezo huu inaonekana kam Philadelphia ndio World Champions wa mashindano yaziyohusisha timu za kutoka nje ya North America.
 
Back
Top Bottom