Football(American football), iko kama rugby ila hii huwa wanavaa protective gears. Mpira wa miguu (wa akina Messi) Marekani unaitwa Soccer.17_0 ni football au netball?
Chiefs walizowea sana ushindi, inabidi nao wakandwe. Leo naona wameelemewa sana sijui Taylor Swift ataimba nini.
Hapo nimekuelewagoli moja la American football ni pointi 6 au 7. Kwa hiyo ukiona point 14 ujue hayo ni magoli mawili. Vile vile kuna nusu goli (field goal) la point 3. Point 17 ina maana ya magoli mawili na nusu
Nilipohamia Marekani kwenye miaka ya tisini ,nilishngaa sana kuwa kulikuwa na mashindao ya baseball (mchezo ambao sikuwa naujua) World Series. Mwaka ule, mshindi alikuwa Atlanta Braves na wakajulika kama World ChampionsWakishinda watasema wao ndio mabingwa wa Dunia.
Hivi watawaweza Watanzania kweli?
Kesho utasikia kutoka kwenye far rights media. Kuhusu haltime show.
Sasa Philadefia ndie atakuwa World Champions.Nilipohamia Marekani kwenye miaka ya tisini ,nilishngaa sana kuwa kulikuwa na mashindao ya baseball (mchezo ambao sikuwa naujua) World Series. Mwaka ule, mshindi alikuwa Atlanta Braves na wakajulika kama World Champions
Kwa mwendelezo huu inaonekana kam Philadelphia ndio World Champions wa mashindano yaziyohusisha timu za kutoka nje ya North America.Sasa Philadefia ndie atakuwa World Champions.
====
Unafikiri huyu Mahome ataeza kurudisha magoli?
nimeiona gugu.🥸Wajuzi wa hili kabumbu, shutout ndio nn
Alikuwa kendrick lamarHalf time show nani anapafom?