Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Nani kawaahidi hiyo 50m?Ubaya Ubwela.
Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?
Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga Mnyama.
Mechi ni saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD
Umekielewa ulichokicharaza?Kisome tena.Refa atusaidie leo tupate penalty, au kwenye dakika 3 za nyongeza refa achezrshe saba vinginevyo mechi hii Mandunduka wenzangu hatutoboi.
Halafu kocha wa utopolo mtamkatalia maneno yake kuhusu ligi ya Tanzania?Nani kawaahidi hiyo 50m?
Njoo kule kwangu kumechangamka.Ubaya Ubwela.
Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?
Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga Mnyama.
Mechi ni saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD
2 bila huko mpk mda huuUbaya Ubwela.
Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?
Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga Mnyama.
Mechi ni saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD
my mamboSikua nimelala mtani nilikua visiting shuleni kwa kijana wangu...tunatimiza wajibu wetu..
Leo tumewalamba nyuki...