Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ndio mtaniKwani wewe ndiye unayeamua?
Mmekuwa yangaBado moya ..
Na goli la nne litasomaDakika 4 zinaongezwa
Ngoja tuoneKatika zile 4 zimebaki 2
Ooh ni 1 na sekunde kadhaa
Tuwe makini sana maana mpira una dunda, hawa prisons wanaweza kurudisha magoli yote.
Nishasema mpaka sauti ikakauka jamaa ana mpira laini lainii kama choko ananiboa watu wanavuja majasho ya matako yeye kama anacheza redeHuyu Onana hata akisugulishwa benchi kama hivyo sioni cha kulalamikia, ubishoo mwingi sana. Acha akalie mbao.
🤣 🤣 🤣Sijamdis ila ombi la sub yake limetoka kwako
[emoji23][emoji23][emoji23]wakirudisha hata moja naacha uloziZimebaki sekunde tu
Aisee nawasiwasi haoa wasije wakarudisha
Aache kususaaMoses Phiri anaonesha sababu za kuitaka namba
Prison wameniangusha