Mkuu naona umebadili Profile pictureNice Yanga
kesho tunacheza na Geita Gold
Sio penalty bwanaPenati....
Sio penati labda ungelaumu kwann Metacha hajapewa red cardPenati....
Penati....
Mkuu naona umebadili Profile picture
Aisee mi mwenyewe nimeshangaa alivyonyanyuka sikutegemea.Yao sio mlaini aisee
Mpira hujui yaani Pacome anatokea nyuma kuufata mpira halafu wewe unasema ni OffsidePacome alikuwa kwenye eneo la kuotea.
Kwani ameokoa mara ngapi? We umeona hiyo tuHivi kuna mechi Mwamnyeto ameanza na hajachoma?