Bila shaka Profesa anataka kujifunza kitu kupitia hiki kikosi.Kikosi Cha YangaView attachment 2316346
Kwa lile boko la mchezaji wa Yanga, walistahili kabisa kufunga.awa nyoka (viper) wanasumu kali wanang'ata dk ya moko
Yanga 0 Vipers 1
Anabinua tuJoyce Vipi yupo?
ngoja tuone ngoma bado mbichi hiiKwa lile boko la mchezaji wa Yanga, walistahili kabisa kufunga.
Haiwezekani mpira uko karibu na goli la mpinzani, badala ya kushambulia ukafunge! Eti unarudisha golini kwako, na kumpasia adui!!!