black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Amepanick tayari kifuatacho ni kula yellow kama kawaida yake.Aucho anaanza kuwalalamikia wenzake[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nyingine uwe unauliza jinsi kubet sio unawapa timu za ovyoBado
Yap nimemsikia mtangazaji hapa kwenye redioHumo kuna Yasin Mzamir
Sudan ni ndugu zetu wasituangushe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]al hiraly team yangu tokea nazaliwa, piga hizi mbwa
4-1Hata mkishinda 2-1 sie tunae goli la ugenini