Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Yanga ni prison iliyochangamkaMnacheza ligi ya mabigwa kama mnacheza mechi ya ligi kuu kweli ndugu zetu ligi ya mabigwa sio level zenu kabisa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Dah!..ulijuaje haya mrembo wetu wa nguvu ?...😂😂Kazeni misuli hyo watawafunga mtatoka 1-1
Kwa matokeo ya Leo kweli,[emoji1787]Yanga inatisha.
Huyu jamaa inaonekana mtu wa kuzama sana chumvini aseeAu Aziz MadomoView attachment 2380827
Kama unajuwa mpira utakubaliana na mm kuwa level ya Al hilal siyo ya kutisha kwa hvyo hata yanga anaweza pia kupata goli ugeniniYanga hizi ndio International games!
Wamejifunza mengiYanga hizi ndio International games!
Si nimeona tuuu Wakamiaji wa Simba hao kwingine hawana loloteDah!..ulijuaje haya mrembo wetu wa nguvu ?...😂😂
Iwe je?Mbona heading ya uzi haibadilishwi?
Al Hilal tunahitaji droo ya 0-0 tuMeet you the second leg