Mwaka huu timu zenu zimefikia wapi kwenye ligi ya mabingwa Africa? tuanzie hapo kwanza.
Fungua thread hapa tunaongea Kuhusu sportpesa cupMwaka huu timu zenu zimefikia wapi kwenye ligi ya mabingwa Africa? tuanzie hapo kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujamshauri huyo mwenzako kufungua thread inayohusu ubora wa ligi?Fungua thread hapa tunaongea Kuhusu sportpesa cup
Gor Mahia is in round 16, no Tanzanian team is there.Mwaka huu timu zenu zimefikia wapi kwenye ligi ya mabingwa Africa? tuanzie hapo kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you sure??
Kenya uongo ni sifa yenu hivi kwanini udanganye ?Gor is still in CAF and the remaining teams are 16 now, what do you have to challenge that?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo aliyo Gor ni CAF confederation cup sawa na Europa league, ile anayo chezaga Everton na Sevilla tuongelee CAF Champions league kama ile anayochezaga Barcelona, Bayern munich e.t.c. kwa Africa utakutana na TP Mazembe, Al ahly, Asec, Simba e.t.c.
Makubwa hayo.Hao kalio bangi wamekutana na NJAA FC
wachezaji hawajala mchana.watapata wapi nguvu ya kupambana
Sent using Jamii Forums mobile app