OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Nov 13, 2024 #1 Simba Queens imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Bao la Vivian Corazone limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya mtani wake ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amekuwa mnyonge. Katika Ligi Kuu ya Wanawake Yanga haijawahi kuifunga Simba ndani ya misimu mitano, mara ya mwisho ikiwa ni 2018 kwa ushindi wa bao 1-0. Tangu 2018 mchezo wa leo baina ya wababe hao ni wa 13 lakini Yanga imeambulia ushindi mara moja tu huku ikifungwa mara 9 na kutoa sare mara tatu.
Simba Queens imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Bao la Vivian Corazone limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya mtani wake ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amekuwa mnyonge. Katika Ligi Kuu ya Wanawake Yanga haijawahi kuifunga Simba ndani ya misimu mitano, mara ya mwisho ikiwa ni 2018 kwa ushindi wa bao 1-0. Tangu 2018 mchezo wa leo baina ya wababe hao ni wa 13 lakini Yanga imeambulia ushindi mara moja tu huku ikifungwa mara 9 na kutoa sare mara tatu.
L Leonardo Harold JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 1,088 Reaction score 2,122 Nov 13, 2024 #2 uto mwaka wa tabu huu
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Nov 13, 2024 #3 Gongo waza ni mwendo wa vipigo tu 😄
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Nov 13, 2024 #4 Gamondi apewe taarifa hii tafadhali
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Nov 13, 2024 #5 Na wapigwe tu
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Nov 13, 2024 #6 Ndio wajue KMC hawapafai.
Mkazamoyo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,495 Reaction score 2,543 Nov 13, 2024 #7 Mfungaji ni Diana Ibhobho (OG) mchezaji wa zamani wa malkia akaona isiwe tabu wacha asaidie chama lake la zamani kuweka mambo sawa
Mfungaji ni Diana Ibhobho (OG) mchezaji wa zamani wa malkia akaona isiwe tabu wacha asaidie chama lake la zamani kuweka mambo sawa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Nov 13, 2024 #8 Kwa kifupi simba jike ana nguvu kuliko simba dume
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Nov 13, 2024 #9 Leonardo Harold said: uto mwaka wa tabu huu Click to expand... Mmejifichia huku
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Nov 13, 2024 #10 Kaeda Mzungu alicheza?
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,150 Reaction score 3,086 Nov 13, 2024 #11 Sindano zetu hazikufanya kazi vizuri.