paroko tarantula
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 107
- 93
Ni kama fisi anaye fuatilia mkono wa mtu akitegemea utadondoka ,kumbe haudondoki mpaka jamaa anazama ndani.Simba tumekuwa mipang'ang'a sana kila tukitamani yanga ifungwe tunazidi kupata maumivu makali. Huu mwaka tukubali sio wetu
Wekaushahidi wa takwimu tuoneMsimu mzima kwenye ligi mnafunga magoli kipindi cha pili tena baada tu ya mpira kuanza.
Duuuh...Naiscreenshot hii reply
Na hili jambo Tulianza kwenye mechi na Simba ya kufungua msimu mpya wa ligi. kwaio Simba ndio iliwafungulia woooote kupigwa goli kipindi cha piliMsimu mzima kwenye ligi mnafunga magoli kipindi cha pili tena baada tu ya mpira kuanza.
Muulize hiyo game tunafanya hiyo comeback wao tuliwapa sh ngapiNa hili jambo Tulianza kwenye mechi na Simba ya kufungua msimu mpya wa ligi. kwaio Simba ndio iliwafungulia woooote kupigwa goli kipindi cha pili
Mkuu umepiga ngumu ya meno kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hili jambo Tulianza kwenye mechi na Simba ya kufungua msimu mpya wa ligi. kwaio Simba ndio iliwafungulia woooote kupigwa goli kipindi cha pili
Wanajitoaga akili Hawa Mikia.. Wao ndio Tulianza kuwasukumia magoli kipindi cha pili kabla ya timu yoyote ya ligi, Leo wanataka kujitoa nati[emoji1][emoji1][emoji1]Muulize hiyo game tunafanya hiyo comeback wao tuliwapa sh ngapi
Nanyie pangeni matokeo ili muongoze ligiHamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeo
Leo tumepiga 3 pakti nzima imeisha, kama vile raja Casablanca walivomalizia pakiti nzima kwenu[emoji1][emoji1]Yanga bana wanajitajiaga mijigoli miiingii wanaishi 1 wakjitahidi 2
Jina jopya hili, mipang'ang'a...Simba tumekuwa mipang'ang'a sana kila tukitamani yanga ifungwe tunazidi kupata maumivu makali. Huu mwaka tukubali sio wetu
Kuna uhusiano gani?Hakuna timu inaweza kuizuia yanga kwa HV SAS Hadi Samia atoke madarakani ndio yanga sc itapungua makali
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kapumzike sasa ukiwa na hizuni tele.Hapa sijakuelewa au umehamia huku siku hzi?.au unamuuliza uje na kamusi ya vyura 😆 😆
Namalizia hapa nilaleKapumzike sasa ukiwa na hizuni tele.
mechi ya simba haiko mbali nafikiri wajifunze kutuzuia kipindi cha 2 dk za mwanzoni tofauti na hapo watajutaMsimu mzima kwenye ligi mnafunga magoli kipindi cha pili tena baada tu ya mpira kuanza.
Ichunguzwe kwa lipi?Ligi ya Tanzania inatakiwa kuchunguzwa
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Madunduka/Mipang'ang'a/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume/Kolowizards [emoji1]Simba tumekuwa mipang'ang'a sana kila tukitamani yanga ifungwe tunazidi kupata maumivu makali. Huu mwaka tukubali sio wetu
Huu utabiri wako ungefanikiwa tungewasikia wala nganda kwa sauti ya kubana pua " pengo la Feisali limeanza kujitokeza"