FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Na hili jambo Tulianza kwenye mechi na Simba ya kufungua msimu mpya wa ligi. kwaio Simba ndio iliwafungulia woooote kupigwa goli kipindi cha pili
Halafu mbona kama mmeiba nyota ya Simba? Akishinda 4 na nyie mnashinda 4, akishinda 3 na nyie hivyo hivyo.
 
mechi ya simba haiko mbali nafikiri wajifunze kutuzuia kipindi cha 2 dk za mwanzoni tofauti na hapo watajuta
Watu wamestaarabika siku hizi, nyie bado mnatumia mbinu za kizamani zilizokuwa zinafanya timu kugomea kwenda vyumbani wakati wa mapumziko. Hatutaki kurudi huko.
 
Watu wamestaarabika siku hizi, nyie bado mnatumia mbinu za kizamani zilizokuwa zinafanya timu kugomea kwenda vyumbani wakati wa mapumziko. Hatutaki kurudi huko.
mkuu unasahau mapema sana mwenye mchezo huo hadi timu toka nje wakalalamika anafahamika

huwa mnalinda hadi uwanja bado mnapigwa.

wekezeni kwenye timu zenu, kwa yanga hii mtalaumu sana
 
Mwaka huu hatuachi kitu, tulianza na ngao ya jamii Mayele akawaweka mbili, Nbc hiyoo tayari, shirikisho ndio linalofata baadae tunaenda kuchukua kombe la Dunia[emoji23][emoji23][emoji23] Mbape na mess wajiandae
Wewe mwarabu feki haujarudi kwenu Morocco
 
Halafu mbona kama mmeiba nyota ya Simba? Akishinda 4 na nyie mnashinda 4, akishinda 3 na nyie hivyo hivyo.
Mkuu mbona kama nyie mliwashwa bao 3-0 na raja kesho yake sisi tukampiga Mazembe bao 3, juzi nyie Kwa vipers mmeshinda ka goli ka Moja ka mungu nisaidie, sisi kesho yake tumembonda mtu 2-0 na mpira mwiiiiiiiingi...
Zama zimebadilika, mnatakiwa mui apriciate Yanga imepiga hatua kubwa ndani ya muda mfupi.
Mwaka juzi tu Yanga hii ilikuwa inatembeza bakuli Leo Je??
 
Kwani leo kulikuwa na mechi gani tena??au ni ile misukule fc ilikuwa dimbani
 


Kumbe haya ndiyo yaliyojiri jana, dah! 🤣😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…