Ole wakoAh wapi!!!
Mmmh yani yanga ni ya kufungwa na hiyo timu ya vichochoroni??!!!!!Sio kwenye gemu hii
Nipo Mwanzo mwisho.Ole wako
Ndio nashangaa sasaAl merreikh walifungwaje 2_0 na hawa vilaza
Watafungwa tu bibie...Mmmh yani yanga ni ya kufungwa na hiyo timu ya vichochoroni??!!!!!
Na wataoigwa tu....acha uto wapigwe tu
Aaah wapiNipo Mwanzo mwisho.
Na goal la kwanza la Namungo nitalitangaza mimi