FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

Yanga inatakiwa iongeze goli la pili ili kuumaliza mchezo. Haka kagoli kamoja kanatuweka mashabiki roho juu. Wakirudisha tu, penati hazina mwenyewe.
 
Yanga inatakiwa iongeze goli la pili ili kuumaliza mchezo. Haka kagoli kamoja kanatuweka mashabiki roho juu. Wakirudisha tu, penati hazina mwenyewe.
Acha kabisa.
Tumezibana kinyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…