FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

Bakary Mwamnyeto ashukuru Dickson Job ni majeruhi. Mwamba anachomesha sana.
Dah! Mabeki wa Yanga wana makosa binafsi yanayo igharimu Timu. Goli 2 zote za Gaborone walizo funga nyumbani na ugenini zote ni makosa binafsi, hata magoli waliyofungwa kwenye ligi kuu ni hivyo hivyo ni makosa binafsi ya mabeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…