The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
wana mtu wao anaitwa chama, vp unamzungumziaje?Mtu yoyote anayemlinganisha Pacome na mchezaji yoyote nchi hii awahishwe Mirembe
Kaona mwezi ana goli 8hatimaye max kaona mwezi
Kafunga?hatimaye max kaona mwezi
Yule level za Mkudewana mtu wao anaitwa chama, vp unamzungumziaje?
hujanielewa mdau, yaani toka awabake simba mpaka leo siku ngap?Kaona mwezi ana goli 8
Chama ni mchezaji wa ndoto yenuYule level za Mkude
Yaani kucheza mechi 7 mfulululizo ndio ufunge goli 1 si hata skudu anawezaOooh ameisha, oooh ilikuwa nguvu ya soda.
Kipaji hakiishi, aliyepewa kapewa.
Kelele ziishe sasa, Max sio size ya mijadala yenu makolo.