yanga 1 mashujaa 0 mpira half timeNgap ngap, hatuna umeme wengine
Nipeni maua yangu, hii wiki ya moto sana kwangu.Leo tunajipigia mapema sana, FH tunaenda mapumziko huku tunaongoza.
Sisi ni Yanga.
Chukua magoli yote ya chama+saido+jobe+kibu bado hawamfikii Max nzegeli sasa hoja yako ni ipi hapo?Yaani kucheza mechi 7 mfulululizo ndio ufunge goli 1 si hata skudu anaweza
skiza mkuu, mi mwenyewe Yanga pure ila ukweli kwamba, hapa kati max alidrop sio yule tuliyemzoea.Chukua magoli yote ya chama+saido+jobe+kibu bado hawamfikii Max nzegeli sasa hoja yako ni ipi hapo?
5g zimetuponza wanatukamia sana madogo.Japo mimi ni simba ila Utopolo wanakamiwa sana na hizi timu zote za ligi sasahivi, hii nadhani inatokana na ule mnara wa 5G tuliopigwa kwaio na wao wanaogopa wasiwe miongoni mwao
Sawa tume lifuta..ubao usome 0-0 ..Offside kabisa ile refa kawabeba
Na bado goli ni hilo moja tu?Possession Yanga 81% kwa 19%.
HADI AIBU YANI!!
Aibu ni kwetu kutoka na goli moja pekee.Possession Yanga 81% kwa 19%.
HADI AIBU YANI!!
Chiba acheze namba ngapi no yake kuna Aziz, Max na PacomeChama ni mchezaji wa ndoto yenu
Hata kama itahitajika Hersi aondoke ili kufanikisha Chama atue, Uto mko tayari