FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Watu wenye akili timamu hatuangalii utopolo nyuma mwiko... TUNAFAHAMU MECHI NI KESHO JUMAPILI. Vibonde hamisa fc nyie rukenirukeni leo.
Na kweli hamuwezi kuangalia maana siyo kwa vipigo mnavyovipata kutoka kwa Yanga.
 
Watu wenye akili timamu hatuangalii utopolo nyuma mwiko... TUNAFAHAMU MECHI NI KESHO JUMAPILI. Vibonde hamisa fc nyie rukenirukeni leo.
Utapataje ujasiri wa kuangalia wakati na wewe ni muhanga wa kichapo,,kwani Kagera ndio atakuwa wa kwanza kutandikwa? Aliyepasuliwa mechi 4 mfululizo ndio kibonde namba Moja!
 
Watu wenye akili timamu hatuangalii utopolo nyuma mwiko... TUNAFAHAMU MECHI NI KESHO JUMAPILI. Vibonde hamisa fc nyie rukenirukeni leo.
Kesho hamna mechi. Refa ni Amina, hapo hamna mechi bali ni maigizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…