Nani mlimpiga 5?Mashindano makubwa kama haya, umempiga mtu 5-0 kwake; marudiano umemchapa 4-1 halafu timu imejifia kivipi? Let's be serious basi.
Nashangaaa!!! Uzi umechundraaaaaa!!Uzi umepoa kama uji utieni catalyst Dombia uchangamke....
Hizo hizo mbili za mkwezi tulizowapiga kwetu sisi ni rahaaaAma kweli kipato huleta majivuno. ππ
Yaani mtu aliyekufunga miaka nenda rudi leo hii kisa umemfunga vigoli viwili basi umeshamdharau hadi basi. Lol
Eti eeeh. πHizo hizo mbili za mkwezi tulizowapiga kwetu sisi ni rahaaa
Wala issue siyo uzi kuchunda, bali jukwaa hili sasa hivi ni upuuzi mtupu, vimejaa vitoto havina issue, anaweza akatoka hapa badala ya kucomment akaanzisha thread ambayo angewwza kuweka comment yake hapa.Nashangaaa!!! Uzi umechundraaaaaa!!
ππππ
Simba wamechangamka bana...ref kauli ya kikwete...πππNashangaaa!!! Uzi umechundraaaaaa!!
ππππ
Engineer wa mchongohivi huyu zakwani na toure hawa wachezaji bwana injinia aliwaokota wapi?