mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
TununuTwambombo
Hatupeleki icho kikosi souz.. kuna kikos cha dodoma jiji na kuna kikoz cha SouzDodoma jiji wanawachosha hivi, itakuwaje kule Sauzi....
Timu pekee inayoshiriki michuano ya CAF hatua ya nusu fainali, endelea kuamini katika bahasha, hizo bahasha zimetolewa wachezaji wa Dodoma wakiwa uwanjani?Bahasha, upuuzi tu huu
[emoji382][emoji382][emoji382]Bahasha... eti refa hakuona Ile foul!
afutatRefa kapewa sh.ngapi
Vyura haaaao wanakuja...
Ulinkafuuu mweeeeTununu
Mie million ilikuwa inaondoka hapa dah....sasa warembo wa yanga karibuni pale mikumi tuenjoyManiner mkeka bado unapumua,ila utopolo mngenilaza njaa leo ,dah asante sana shah
Sasa ela kapewa nani hapoBahasha, upuuzi tu huu
Uto wamekimbiana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pumbavu
Wapuuzi Sana hawa watotoWaendelee kujiangusha
Ungeanza kwanza kujiuliza kikosi cha leo kinachocheza na Dodoma jiji. Halafu hao wasauzi walishakula chuma mbili na Yanga hiyo hiyo hivyo hata wao wanajua sio mechi rahisi kwao. Wanakazi ya kufanya ili wapindue mezaDodoma jiji wanawachosha hivi, itakuwaje kule Sauzi....