zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mimi nilidhani anaipongeza Yanga kumbe dah anawaomba radhi makolo wenzake.View attachment 2620531
Zile tambo za awali kaachana nazo
Wee njoo sasa tarehe 28 taifa wananchi watakapokuwa wanacheza final😆 😆 😆 😆 😆 akili zako uazijua mwenyewe
Kawaida tuu sio ishu mbona?.ni kipindi chenu kama sisi tu tulivyowatesa kwa miaka mi Inne yani mi fooo yani mi4..
Mwambie ntampasua huyoBaba Swalehe unamsikia mzabzab lakini?
😅😅Kwasababu wao sio malimbukeni wa ubingwa.
Naanzaje sasaWee njoo sasa tarehe 28 taifa wananchi watakapokuwa wanacheza final
Duuh itakua hatari basi..mwendo ni huu huu mpaka 2030 alafu tunampasia azam
Wapii...umechanganya madesaSii tunaenda wote
Yanga bingwa 😎Duuh itakua hatari basi..
SawaYanga bingwa 😎
Why ?
Umeiga kwa nani hiyo salamu?[emoji23]Why ?
I am indigenous why don't you trust me maskini [emoji23]Umeiga kwa nani hiyo salamu?[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I am indigenous why don't you trust me maskini [emoji23]
Missing you too[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya bwana
Walamusha??
Nilikumiss tu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
MuongoMissing you too
So much baby girl
Real niamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Muongo