Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Vipi kuhusu mademu wa yanga utajirusha nao pale pub au umeghairi ?Uwiiii yanga wangese sana sasa ndio nini haya wanafanya
Yap naanza kuwaona sasa baada ya kusawazishaTupooo....
TupooooWapi UTO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
bado haujabadilikaMbona hili liubao halibadiliki?
Tutafute goli la ubingwa sasa mana tumesha sawazisha.Kifala fala na nililiona hili mwanzoo
Wanafanya Mambo yanakuwa magumuuTutafute goli la ubingwa sasa mana tumesha sawazisha.
Ni kitendo cha sekunde tu huwaoniMashabiki wa Yanga ni kama maninja.
Wakiona mambo magumu wanapiga pigo la kupotea
Wenzako wako wapi mlioanza nao pamoja uzi?Metacha kazingua hizi goli zote za kizembe