Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,032
Enjoy Mkuu . . . .
Karibu sanaNoted
Hakika sisi siyo Producer wa Tamthilia hiyo. Ni Waandaaji wa Siri za familia; Michakato; Maisha ya Bongo na Baadhi ya Filamu. Unaweza pia tufuatilia Channel ya JTV CINEMA Ting au Channel ya Bongo Cinema ZUKUIngependeza sanaa kama ungetuwekea na tamthiliya ya Kapuni.
Mkuu, Bongo sinema na JTV cinema ni channel mbili tofauti?Hakika sisi siyo Producer wa Tamthilia hiyo. Ni Waandaaji wa Siri za familia; Michakato; Maisha ya Bongo na Baadhi ya Filamu. Unaweza pia tufuatilia Channel ya JTV CINEMA Ting au Channel ya Bongo Cinema ZUKU
Mkuu umeongea point.Ingependeza sanaa kama ungetuwekea na tamthiliya ya Kapuni.
Mkuu umeongea point.
ShukraniSafi sana
Barikiwa sana. Tunajaribu kufanya sehemu yetuJamaa Smart Sana hukoseagi#Tangu Upo TBC 1.Appreciate Boss
YESMkuu, Bongo sinema na JTV cinema ni channel mbili tofauti?
Naifahamu Bongo sinema
Nafatilia sana hii Bongo Sinema mko vizuri hongereni, naiona ikiwa kubwa sana siku zijazo.YES
Bongo Sinema ni makubaliano kati ya JTV na Zuku. Ipo Channel 211 operated by JTV
JTV Sinema ipo TING na Continental. Tuliitoa Startimes.
Kwa maoni yangu, a deserving farewell kwa member wetu yoyote, aliyetangulia mbele ya haki ni kumuaga kupitia maandishi yake, threads zake ili kujikumbusha mawazo yake, maneno yake na matendo yake tukiendelea kuishi Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!Sasa Unaweza kufuatilia Msimu wote wa Kwanza wa Tamthilia Pendwa ya "SIRI ZA FAMILIA" katika Channel ya "JASONS TV" YOUTUBE. Kwa Kuanzia angalia hizi Episodes chache: