Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Mimi sina foleni. Yani ni moja Kwa moja Tu, mikoani Hanna hata foleni..japo natembea rough road Sana.hyo 12 ni kwa safar ndefu, mjini ni hyoyhyo 7km/litre, wala wasikudanganye
ndo hvyohvyo hata mkoani, kwa maana Mara nyingi au Mara zote utatembea kwenye gear kubwa na kwenye speed ndogo ambayo ni below 60 hata kama hakuna foleni, na kwa maana hyo hyo Subaru yako lazima itakula sana mafuta! ila ukienda safar ya mbali utatembea kwa speed kubwa above 80 ambayo itasababisha ulaji wa mafuta kupungua.Ila Mimi sina foleni. Yani ni moja Kwa moja Tu, mikoani Hanna hata foleni..japo natembea rough road Sana.
hyo 10km/litre utaipata ukiwa safari ndefu yenye speed above 80km/hYes cc... Sema sikuwa na mawazo ya Kula mafuta kama IST au spacio..Ila ilivyotembea km 7 nikahisi kama inakula extra...niliwaza itakuwa inaenda km 10 hivi mjini
Subaru Kwa hii cc1450 boxer engine non turbo kunipa 7km/l naona ni kubwa Sana...labda Forster / legacy ndo ingenipa 7 mpaka 8km/l kidogo ingemake senseHapana mimi yakwangu ni cc 1990 lakini natumia 8-9 nakushauri nenda wakaicheki nozzel,plugs air cleaner fuel pump na fuel presure regurator na kama kutakuwa na mis yoyote.
itakuwa normal cc 1450 ni ndogo sana kuwa na consumption yakijinga kama hiyo.
Thanks brotherFanyia kazi ushauri niliokuambia wao wenyewe wanasema.cc1500 inatakiwa iende mpaka 14 mpaka 18 fanyia kazi hilo swala
Sure... Wakati mwingine unaweza bahatisha ata 9km/L but kukiwa hakuna foleni na umekanyaga vizuri accelerator.. Ukivumisha sana unaweza pata ata 5km/Lndo hvyohvyo hata mkoani, kwa maana Mara nyingi au Mara zote utatembea kwenye gear kubwa na kwenye speed ndogo ambayo ni below 60 hata kama hakuna foleni, na kwa maana hyo hyo Subaru yako lazima itakula sana mafuta! ila ukienda safar ya mbali utatembea kwa speed kubwa above 80 ambayo itasababisha ulaji wa mafuta kupungua.
Ukienda kwa fundi atakupiga tu pesa, Subaru imprezza ndo ulaji wake huo ila najua ulivutiwa na hzo cc 1490
Maelezo yako ni sahihi kabisa,gari inapokuwa kwenye gear kubwa lazima ikutafune mafuta.mfano mzuri ni unapokuwa kwenye foleni,au unatembea kwenye njia mbovu...ndo hvyohvyo hata mkoani, kwa maana Mara nyingi au Mara zote utatembea kwenye gear kubwa na kwenye speed ndogo ambayo ni below 60 hata kama hakuna foleni, na kwa maana hyo hyo Subaru yako lazima itakula sana mafuta! ila ukienda safar ya mbali utatembea kwa speed kubwa above 80 ambayo itasababisha ulaji wa mafuta kupungua.
Ukienda kwa fundi atakupiga tu pesa, Subaru imprezza ndo ulaji wake huo ila najua ulivutiwa na hzo cc 1490