Fuel consumption in Subaru impreza wagon

Gucci 2

Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
31
Reaction score
23
Habarini! Nina Subaru impreza tangu imefika kutoka japan inanipa Tu 7 km / litre na imetembea Tu 95000. INA cc 1450 na Mimi sina mbio kabisa kwenye uendeshaji.

Nimeuliza wengine wanasema ilipashwa inipe atleast 12km/l nikiwa mtaani.

Tatizo linaeza kuwa nin?
 
Ila Mimi sina foleni. Yani ni moja Kwa moja Tu, mikoani Hanna hata foleni..japo natembea rough road Sana.
ndo hvyohvyo hata mkoani, kwa maana Mara nyingi au Mara zote utatembea kwenye gear kubwa na kwenye speed ndogo ambayo ni below 60 hata kama hakuna foleni, na kwa maana hyo hyo Subaru yako lazima itakula sana mafuta! ila ukienda safar ya mbali utatembea kwa speed kubwa above 80 ambayo itasababisha ulaji wa mafuta kupungua.
Ukienda kwa fundi atakupiga tu pesa, Subaru imprezza ndo ulaji wake huo ila najua ulivutiwa na hzo cc 1490
 
Yes cc... Sema sikuwa na mawazo ya Kula mafuta kama IST au spacio..Ila ilivyotembea km 7 nikahisi kama inakula extra...niliwaza itakuwa inaenda km 10 hivi mjini
 
Yes cc... Sema sikuwa na mawazo ya Kula mafuta kama IST au spacio..Ila ilivyotembea km 7 nikahisi kama inakula extra...niliwaza itakuwa inaenda km 10 hivi mjini
hyo 10km/litre utaipata ukiwa safari ndefu yenye speed above 80km/h
 
Hapana mimi yakwangu ni cc 1990 lakini natumia 8-9 nakushauri nenda wakaicheki nozzel,plugs air cleaner fuel pump na fuel presure regurator na kama kutakuwa na mis yoyote.
itakuwa normal cc 1450 ni ndogo sana kuwa na consumption yakijinga kama hiyo.
 
Subaru Kwa hii cc1450 boxer engine non turbo kunipa 7km/l naona ni kubwa Sana...labda Forster / legacy ndo ingenipa 7 mpaka 8km/l kidogo ingemake sense
 
Fanyia kazi ushauri niliokuambia wao wenyewe wanasema.cc1500 inatakiwa iende mpaka 14 mpaka 18 fanyia kazi hilo swala
 
Sure... Wakati mwingine unaweza bahatisha ata 9km/L but kukiwa hakuna foleni na umekanyaga vizuri accelerator.. Ukivumisha sana unaweza pata ata 5km/L
 
kwa ufupi waendesha hizo gari dunia nzima wanazijua kwa uimara na mbio za uhakika hata ukiwa njia ya vumbi. Upande wa mafuta fumbia macho fanya kama huoni.
 
Maelezo yako ni sahihi kabisa,gari inapokuwa kwenye gear kubwa lazima ikutafune mafuta.mfano mzuri ni unapokuwa kwenye foleni,au unatembea kwenye njia mbovu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…