Fuel Consumption ya Nissan Elgrand

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Wadau amani?

Naomba kuuliza kwa wale wamiliki au wanaozijua Nissan Elgrand hasa fuel consumption ikoje? Naomba kujua ya cc 3500 petrol E51.

Aksante.
 
Wadau amani?

Naomba kuuliza kwa wale wamiliki au wanaozijua Nissan Elgrand hasa fuel consumption ikoje? Naomba kujua ya cc 3500 petrol E51.

Wadau wenye uzoefu plz msaada
Aksante.
 
Wadau amani?

Naomba kuuliza kwa wale wamiliki au wanaozijua Nissan Elgrand hasa fuel consumption ikoje? Naomba kujua ya cc 3500 petrol E51.

Aksante.
Naona wenye hizo gari hawajitokezi
.ushauri nenda google uanze na neno Nissan Elgrand (mwaka) E51 full specification....hapo utapata kila kitu...
Hapo utapata consumption kwa kila km100
Basi utachukua km 100 ugawanye kwa lita za mafuta zitakazotumika...utajua lita moja inakwenda km ngapi

mfano 6.8ltr/100km

Chukua 100 gawanya kwa 6.8 utapata majibu..

KUMBUKA...hiyo consumption ni gari ikiwa mpya kuanzia 0km....kwa gari used consumption itaongezeka kidogo...
mfano gari mpya kama inaenda Km 14/ lita...used yake itaenda si zaidi ya Km 13/lita.

Kila lakheri...usisahau kunipa lifti nasikia elgrand ni full comfortable.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau amani?

Naomba kuuliza kwa wale wamiliki au wanaozijua Nissan Elgrand hasa fuel consumption ikoje? Naomba kujua ya cc 3500 petrol E51.

Aksante.
Nissan Elgrand VQ 35 AWD inapiga 11.2 ltrs/100km kwenye combined circle.
Nishapiga nayo Dar - Arusha kwa range ya 70-85ltrs ikitegemea maspidi yangu na mzigo niliobeba.
Ila gari imetulia.
Full balance..kunyoosha kiatu 160kph imetulia hadi raha.
 
VQ35 pia ipo kwenye FUGA.....raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio engine imeibeba sana Nissan na imeshachukua tuzo mfululizo sana,hata kwny gari zake nyingi hio engine imehusika sana kama vile:
Nissan Altima,Nissan Maxima,Nissan Murano,Nissan Skyline,Nissan Teana,Infiniti G35,Nissan Presage,Nissan Stagea,Nissan Quest.
 
Mkuu we nunua tu,mambo ya mafuta usiyafikirie sana unaweza kubadili uamuzi.Mi kuna moja inanifilisi,lakini najaribu kuitumia kwa safari ndefu tu,mishe mishe za karibu situmii.
Asante mkuu. Mimi ni mnazi mkubwa sana wa Nissan. Ngoja niendelee kupata maoni ya wadau nione nafanyaje
 
Inaonekana ni engine powerful na stable sana barabarani. Nilishawahi kuwa na Nissan Terrano, dah wese inakunywa ila kuendesha ni raha sana.
 
Nissan Elgrand VQ 35 AWD inapiga 11.2 ltrs/100km kwenye combined circle.
Nishapiga nayo Dar - Arusha kwa range ya 70-85ltrs ikitegemea maspidi yangu na mzigo niliobeba.
Ila gari imetulia.
Full balance..kunyoosha kiatu 160kph imetulia hadi raha.

Naona hapo ni kama 1lt kwa 8km hivi...
 
Asante mkuu kwa details
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…