Nje ya nchi inawezekana !?Kama title inavyojieleza hapo juu wakuu,mimi ni mtu wa masoko kutoka kampuni ya Riyakh logistics,kampuni yetu inahusika na usambazaji wa mafuta ya petrol pamoja na diesel mahali popote pale ndani ya Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kupitia 0712666415 View attachment 2416076
ungeweka na bei ya mafuta yenu per litre ingekuwa vizuri zaidi mkuuKama title inavyojieleza hapo juu wakuu,mimi ni mtu wa masoko kutoka kampuni ya Riyakh logistics,kampuni yetu inahusika na usambazaji wa mafuta ya petrol pamoja na diesel mahali popote pale ndani ya Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kupitia 0712666415 View attachment 2416076
Kama nimemwelewa, yeye hauzi ila anasafirisha tuungeweka na bei ya mafuta yenu per litre ingekuwa vizuri zaidi mkuu
Ok umesomeka mkuu🤝🤝Kama nimemwelewa, yeye hauzi ila anasafirisha tu
kwa hiyo mtu akiagiza Lita 10 za Petroli yupo Bunju mnampelekea??Naomba niiweke sawa hii wakuu,kampuni yetu inahusika na uuzaji na usambazaji (mobile fueling), unatupigia simu tunakuletea mafuta popote ulipo ndani ya Dar es salaam