Fuel injector Service

Fuel injector Service

Joined
Sep 3, 2011
Posts
48
Reaction score
17
Mambo vp wakuu,

Hivi kwa hapa Dar es Salaam wapi nitapata huduma ya fuel injector cleaning ? Najua mafundi wengi wanaweza kusafisha fuel injector lakini naulizia sehemu ambayo wanasafisha fuel injector kwa kutumia mashine.
 
Ngoja waje watujuze...me mwenyewe nahitaji fundi wa kuzisafisha ila nipo arusha
 
Nenda hapo Ubungo Riverside kuna ofisi za Nodco utafanyiwa kazi ya uhakika
 
Back
Top Bottom