ElectronicSalim
Member
- Sep 3, 2011
- 48
- 17
Hawa jamaa wapo kwa Mwanza?Nenda hapo Ubungo Riverside kuna ofisi za Nodco utafanyiwa kazi ya uhakika
Ngoja waje watujuze...me mwenyewe nahitaji fundi wa kuzisafisha ila nipo arusha
Nenda DAS Bosch wapo karibu na Azam Milling, Tazara. Au Vigor Diesel wapo Mbagala Zakheim, karibu na NMBMkuu Boeing 747 , ulifanikiwa kupata hii service ya kusafisha fuel injector?