Fuga samaki kwa faida na ovs-Aquasupplies

Justus wisdom

Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
6
Reaction score
2
“AquaGold” ndio samaki sato ni dhahabu ya majini..

Katika ufugaji wa Samaki nchini Tanzania samaki jamii ya sato imeonekana kuwa na tija sana kutokana na kuwa na watumiaji wengi zaidi sokoni, kwa maana hiyo soko lake ni la uhakika ndani ya nchi na pia nje ya nchi.
Kwanini ufuge samaki nasi?🤷🏽‍♂️

1. Kwetu sisi utapata mbegu bora kabisa ya samaki, ukuaji wa uhakika, stahimilivu katika mazingira yote(baridi na joto), vumilivu kwa magonjwa.
2. Ushauri juu ya ufugaji bure kabisa 24/7.
3. Ufuatiliaji madhubuti wa mradi wako mpaka mavuno.
4. Tunakusaidia mfugaji kutafuta masoko.

Pia tunauza Vifaa mbali mbali vya ufugaji samaki na chakula cha samaki( vifaa kama neti aina zote, Jagi na trey za kutotoleshea samaki, Overtide kwaajili ya kutotolesha kambale, life jackets, plastic sheets kwaajili ya kutengeneza mabwawa n.k.
 
Attachments

  • IMG_4021.MOV
    4.4 MB
  • IMG_3849.MOV
    13.7 MB
Hiyo picha mbona haina uhusiano na samaki wa mwanza wa ziwa victoria?
 
“AquaGold” ndio samaki sato ni dhahabu ya majini..

Katika ufugaji wa Samaki nchini Tanzania samaki jamii ya sato imeonekana kuwa na tija sana kutokana na kuwa na watumiaji wengi zaidi sokoni, kwa maana hiyo soko lake ni la uhakika ndani ya nchi na pia nje ya nchi.
Kwanini ufuge samaki nasi?🤷🏽‍♂️

1. Kwetu sisi utapata mbegu bora kabisa ya samaki, ukuaji wa uhakika, stahimilivu katika mazingira yote(baridi na joto), vumilivu kwa magonjwa.
2. Ushauri juu ya ufugaji bure kabisa 24/7.
3. Ufuatiliaji madhubuti wa mradi wako mpaka mavuno.
4. Tunakusaidia mfugaji kutafuta masoko.

Pia tunauza Vifaa mbali mbali vya ufugaji samaki na chakula cha samaki( vifaa kama neti aina zote, Jagi na trey za kutotoleshea samaki, Overtide kwaajili ya kutotolesha kambale, life jackets, plastic sheets kwaajili ya kutengeneza mabwawa n.k.
Mko wapi
 
Back
Top Bottom