Computer4Sale Fujitsu Desktop inauzwa TZS 280,000/= tu!

Computer4Sale Fujitsu Desktop inauzwa TZS 280,000/= tu!

Mr.panya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
248
Reaction score
278
Habari wakuu,

Nauza desktop aina ya FUJITSU ipo full set , haina tatizo lolote ila naiuza kwa sabbau nataka ninunue laptop mana nimekua mtu wa safari sana siku hizi:

FUJITSU DESKTOP
HDD : 300GB
RAM : 4GB
PROCESSOR : INTEL PENTIUM 3.2GHz
OS : WINDOWS 10
PRICE : 280,000
CONTACT :
LOCATION : DAR ES SALAAM

20210416_114504.jpg
 
Achana na safari kutumia double kiki ili ubane matumizi...safari inakufanya uuze bei kubwa sana
 
machinga compex napata zaidi ya iyo 1 telabyte, ram 8, wifi na boototh kwa 250000
 
laki moja ipo mfuko wa shati nichek tumakize biashara
 
Daaah we jamaa sio kabisa huku si kuharibiana
Anamwekeza ukweli kariakoo maduka ya used bei ya hiyo PC kwa specs na kioo hicho cha dell
bei haizidi 250000 na kwa maduka ya wasomali
Ila ukija agrey hadi 200000 unapata ukilialia unapata

Jamaa ajifunze kuuza vitu mtandaoni kuwa ni bei ni nafuu
 
hapo kwa wasomali hupati kwa bei hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
machinga compex napata zaidi ya iyo 1 telabyte, ram 8, wifi na boototh kwa 250000
Acha uchawi mkuu hupati hiyo kitu genuine kabisa kwa bei hiyo rabda yale maskrepa yanayofunguliwafunguliwa kule halafu hemu tuanzie hapa hiyo compex ndio nn,telabyte ndio mnyama gani, boototh ni kitu gani hicho..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Nauza desktop aina ya FUJITSU ipo full set , haina tatizo lolote ila naiuza kwa sabbau nataka ninunue laptop mana nimekua mtu wa safari sana siku hizi:

FUJITSU DESKTOP
HDD : 300GB
RAM : 4GB
PROCESSOR : INTEL PENTIUM 3.2GHz
OS : WINDOWS 10
PRICE : 280,000
CONTACT :
LOCATION : DAR ES SALAAM

View attachment 1753543
oya ushasukuma hi?
 
Back
Top Bottom