[emoji817][emoji817]Bluetooth haina ila wifi natumia.
Daaah we jamaa sio kabisa huku si kuharibianamachinga compex napata zaidi ya iyo 1 telabyte, ram 8, wifi na boototh kwa 250000
Anamwekeza ukweli kariakoo maduka ya used bei ya hiyo PC kwa specs na kioo hicho cha dellDaaah we jamaa sio kabisa huku si kuharibiana
hapo kwa wasomali hupati kwa bei hiyo mkuuAnamwekeza ukweli kariakoo maduka ya used bei ya hiyo PC kwa specs na kioo hicho cha dell
bei haizidi 250000 na kwa maduka ya wasomali
Ila ukija agrey hadi 200000 unapata ukilialia unapata
Jamaa ajifunze kuuza vitu mtandaoni kuwa ni bei ni nafuu
Acha uchawi mkuu hupati hiyo kitu genuine kabisa kwa bei hiyo rabda yale maskrepa yanayofunguliwafunguliwa kule halafu hemu tuanzie hapa hiyo compex ndio nn,telabyte ndio mnyama gani, boototh ni kitu gani hicho..?machinga compex napata zaidi ya iyo 1 telabyte, ram 8, wifi na boototh kwa 250000
oya ushasukuma hi?Habari wakuu,
Nauza desktop aina ya FUJITSU ipo full set , haina tatizo lolote ila naiuza kwa sabbau nataka ninunue laptop mana nimekua mtu wa safari sana siku hizi:
FUJITSU DESKTOP
HDD : 300GB
RAM : 4GB
PROCESSOR : INTEL PENTIUM 3.2GHz
OS : WINDOWS 10
PRICE : 280,000
CONTACT :
LOCATION : DAR ES SALAAM
View attachment 1753543