"Fujo Isiyoumiza" Ni Code Name au nini maana yake kiusalama

MJENGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
884
Reaction score
850
Kuna mtu anajiita "Bongo Zozo" na kaulimbiu yake "Fujo Isiyoumiza". Binafsi huyu mtu ananitatiza sana. Anafanya akili yangu iwaze na kuwazua beyond its ordinary scope.

Hivi huyu Bongo Zozo ni nani haswa? Ana mission gani hapa nchini? Ni mzalendo kweli kwa nchi yetu ama ametake cover ili aweze kujiinfiltrate ndani ya mifumo yetu?

Nini maana ya "Bongo Zozo" na "Fujo isiyoumiza", siyo code names kweli? Anyway mimi si mtaalam wa haya mambo, naamini wapo wazee wa kazi wanaweza kuzama zaidi na pengine sijui walishazama na kugundua kuwa hana madhara.

Anyway nawaza tu kwa sauti juu ya kutatizwa na huyu jamaa.
 
Mzaaa usio kuwa na Matusi ndiyo maana yake
 
Unawaza Sana mkuu

Pumzisha fuvu kidogo😃😃
 
Kuna mtu anajiita "Bongo Zozo" na kaulimbiu yake "Fujo Isiyoumiza". Binafsi huyu mtu ananitatiza sana. Anafanya akili yangu iwaze na kuwazua beyond its ordinary scope.

Hivi huyu Bongo Zozo ni nani haswa? Ana mission gani hapa nchini? Ni mzalendo kweli kwa nchi yetu ama ametake cover ili aweze kujiinfiltrate ndani ya mifumo yetu?

Nini maana ya "Bongo Zozo" na "Fujo isiyoumiza", siyo code names kweli? Anyway mimi si mtaalam wa haya mambo, naamini wapo wazee wa kazi wanaweza kuzama zaidi na pengine sijui walishazama na kugundua kuwa hana madhara.

Anyway nawaza tu kwa sauti juu ya kutatizwa na huyu jamaa.
Maana halisi ni Ushabiki si uadui.

Hiyo ni kwamjibu wa ubongo wa Greater Thinker wa JF Kasomi
 
Picha ya bongozozo please
Huyo kwenye majani mkuu
JamiiForums1651226968.jpg
 
Back
Top Bottom