Fujo zawatupa SERO Afande na 20%!

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622


Toka Morogoro mastar wawili wa muziki wa Bongo Flava wanatengeneza news siku yale, hawa ni Selemani Msindi, ‘Afande Sele’ na Abbas Kinzasa ‘20%’, ambapo juzi walizua tafrani kubwa mjini Morogoro iliyowasababishia kutupwa rumande baada ya kukosa dhamana.


Imeelezwa kuwa wasanii hao juzi, walifika na gari lao katika maeneo ya Benki ya NMB Tawi la Wami, ambako katika kupaki kulitokea kutoelewana na askari wanaolinda usalama, hivyo kuzuka kwa tafrani kubwa.


“Baada ya kutokea mzozo huo, wananchi nao wakaanza kuingilia, hivyo kuzuka tafrani kubwa zaidi, ikiwamo kuharibiwa kwa baadhi ya magari yaliyokuwapo eneo hilo na askari mmojawapo kuumizwa,” k


Ilibidi askari wa ziada watimbe eneo la tukio na kutumia ubabe wa hali ya juu kuwatawanya wananchi, huku Afande Sele na 20% wakipigwa ile inaitwa 'tanganyika jeki' kuelekea kituoni na kufikishwa kwa pilato (mahakamani) jana ambako walikosa dhamana na kutupwa sero.


E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
acha kuwahukumu umesikiza kilichotokea?
 
bange bange bange imenifanya nisote jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…