The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Hamna kitu awamu hii mnaletewa makamu mwanamke filomena taxZa ndani kabisaa na uhakika
Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka.
ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon
Za ndani kabisaa na uhakika
Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka.
Ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon
https://www.facebook.com/Ukiona moshi jua kuna ulaji
Masago yasikosekane ili moshi ufukeNaomba walioko karibu na Dodoma waongeze kuni
Mambo ya Mlete Mzungu..wa Magu...kabisa ..siyo!!?Hamna kitu awamu hii mnaletewa makamu mwanamke filomena tax
Kama ni mtanzania na anasifa za kikatiba na akidhi vigezo vya maadili, Sioni shida akiwa Makamu
Mara pap..!
Angela Kiziga anakuwa makamu wa rais!
Sio yanafurahisha?Yajayo yanatisha zaidi mno 😭😭
Wale watu wa nec ni makondoo hakuna wanachoweza kufanya kusaidia Taifa zaidi ya uccm wao.Za ndani kabisaa na uhakika
Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka.
Ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon