Fukuza fukuza ya Makocha Simba SC! Je, ndio suluhisho la mafanikio?

Fukuza fukuza ya Makocha Simba SC! Je, ndio suluhisho la mafanikio?

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Binafsi nilikuwa nawaza simba imepata umaarufu mkubwankufundishwa na makocha wengi sehemu mbalimbali kwa.mda mfupi

Baada ya kumchukua omog nilijua watatulia na kuhangaika na mafanikio ya timu..majuzi naona tena wamemtimua omog

Historia yangu inanionyesha simba wakimfukuza kocha mechi zinazobakia wanaharibu sana na mojawapo ni kurudisha mamluki wachezaji wa zamani kamammakocha wakitafuta kocha toka nje

Ni vyema timu zingine zikaanza kujipanga nankuangalia je simba imefanikiwa nn ktk fukuza fukuza yote hii....

Naamini mh mo.na wengine wanasababu zao lakini n wakati muafaka kuwaasa watafute chanzo halisi n nini kinachopelekea timu kufanya vibaya....

Hist inaniambia kocha mmoja wa simba alifukuzwa huko huko znz na kombe hilihili

Nawaza hivi mapinduzi ndio kigezo cha kuonyesha uwezo ws timu yenu simba kweli ama n comedy inaendelea..,...

Naamini kocha unamfukuza pale anapowekanmalengo ya kuchukua ubingwa waligi na hakufanikiwa baada ya kuisha ligi...ananikumbusha yule.mzungu wa simba mliomfukuza znz anasema viongozi wamejaa ubabaishaji kila sekta hata aje kocha nani simba haitabadilika

Moja ya sababu kubwa amesema mkataba wale moja ya malengo nnkombe la ligi kuu sasa niko nafasi ya pili naenda znz natolewa kwenye kombe ambalo hata kwenye mkataba amjanielezea mnanifukuza

Akashukuru nakuwaambia hata walete morinyo shida simba sio kocha.....

Polennsana mliokuwa na mawazo ya kuchukua ubingwa mimba hioo lazima mzae tena na naniiwenu
 
Back
Top Bottom