Full funded scholarship in Taiwan

Full funded scholarship in Taiwan

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Habari zenu,

TaiwanICDF Scholarships zimefunguliwa kwa sasa.
Ni full funded kwa masters na PhD
Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search TaiwanICDF scholarships, utakuta maelezo yote pale.

Kama utakwama sehemu wakati wa application nitafute Whatsapp kwa namba hapa chini.
Pia kama utataka msaada wa kufanyiwa application nitafute Whatsapp.

NB: Ukikwama msaada ni BURE ila kufanyiwa application sio bure, pia nikikufanyia application sio kigezo kwamba lazima upate.

Namba zangu za Whatsapp 0622905303

UWE NA PASSPORT KAMA HUNA PASSPORT USINITAFUTE.
 
Nahitaji sanaa Scholarship ya masters za afya
Program za afya zilizopo kwa hii TaiwanICDF Scholarship ni hizi hapa, unaweza ukanichek
 

Attachments

  • IMG_20250110_091412.jpg
    IMG_20250110_091412.jpg
    140.6 KB · Views: 7
Program za afya zilizopo kwa hii TaiwanICDF Scholarship ni hizi hapa, unaweza ukanichek
Thanks jembe, ngoja nitunze contacts zako nitakuja kukuchek endapo nitaona Msc niitakayo
 
Back
Top Bottom