Dalali wa kimataifa
Member
- Apr 10, 2025
- 40
- 44
Unajenga ya kwako kabisa!= 5,400,000 x 12 months?
Dah😂😂😂😂Hiyo ni 5,460,000 labda kama watanihakikishia uhai wangu kwamba sitakufa.
Hatari sana broUnajenga ya kwako kabisa!
Na utashangaa zimejaaHiyo ni 5,460,000 labda kama watanihakikishia uhai wangu kwamba sitakufa.
Ila watu 😀😀😀Hiyo ni 5,460,000 labda kama watanihakikishia uhai wangu kwamba sitakufa.
Na utashangaa zimejaa
Wewe si umeamua kuwekeza kwenye Subaru?Wanajaa wachina. Ila biashara ya nyumba za kupangisha zinalipa sana
Wewe si umeamua kuwekeza kwenye Subaru
real estate ndio biashara isiyokuwa na risk na matajiri wengi akiwemo bwana trump wametajirika kwa real estateWanajaa wachina. Ila biashara ya nyumba za kupangisha zinalipa sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila kwa kweli mwenyezi mungu atutie nguvu na kuzidi kutujaalia ila kwa kweli hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla tunatofautiana sana, Imagine kuna watu wanaishi kwenye vyumba vya elfu 30 kwa mwezi na huku wengine wanaishi kwenye nyumba ya USD2000 (apprx 5,300,000Tshs) yaani zaidi ya mara 176 Duuuuh!!!!!!
Ni kosa kisheria kucharge kwa dola, number zako tunawasilisha kwa mamlaka husika#rent
APARTMENT FOR RENT
LOCATED AT MIKOCHENI DAR-ES-SALAAM TANZANIA🇹🇿
3BEDROOM MASTER,
______________
RENT PRICE USD $2000
Dalali_wa_kimataifa
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3314813View attachment 3314814
Endelea na mawazo yako ya kimaskini,umechelewa ungepeleka toka janaNi kosa kisheria kucharge kwa dola, number zako tunawasilisha kwa mamlaka husika